HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 23, 2018

WAANDISHI WA HABARI NI KUNDI MUHIMU KATIKA KUFIKISHA UJUMBE KWA JAMII - DC SONGEA

Vyombo vya habari,mitandao ya kijamii imeonekana kuwa na mchango mkubwa katika jamii kutokana na uwezo wa kufikisha ujumbe kwa haraka ukilinganisha makundi mengine.
Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya SONGEA POLOLET MGEMA wakati wa mafunzo kwa wataalamu watakaoenda kutoa chanzo kwa ajili ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wa watoto wa kike mwenye umri wa miaka 9 hadi 14 ambayo hufanyika leo mkoani Ruvuma na Tanzania kwa ujumla.
HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad