HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 7, 2018

MAJALIWA ASHIRIKI DUA YA KUMWOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR ABEID AMAN KARUME

Makamu wa Rais, Samia Suluhu,  Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi   Seif Ali Iddi  (kushoto) na Balozi Ali Karume  (wapili kushoto) wakishiriki katika  dua ya kumwombea Rais wa  Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume   kwenye  kaburi la Hayati Karume  lililopo Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar Aprili 7, 2018. Wanne kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,  Ali Hassan Mwinyi na watatu kushoto ni Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume.
  Makamu wa Rais, Samia Suluhu,  Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi   Seif Ali Iddi  (kushoto) na Balozi Ali Karume  (wapili kushoto) wakishiriki katika  dua ya kumwombea Rais wa  Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume  kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mini Zanzibar Aprili 7, 2018. 
 Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein  akishiriki katika dua ya kumwombea Rais wa kwanza wa Zanzibar, Aman Abeid Karume kwenye Ofisi Kuu ya CCM iliyopo Kisiwandui Zanzibar Aprili 7, 2018. Watatu kulia ni  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wanne kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,  Ali Hassan Mwinyi. Wapili kulia ni Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Rais wa Zanzibar DKt. Ali Mohammed Shein  akishiriki katika dua ya kumkwombea Rais wa kwanza wa Zanzibar, Aman Abeid Karume kwenye Ofisi Kuu ya CCM iliyopo Kisiwandui Zanzibar Aprili 7, 2018. Watatu kulia ni  ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wanne kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi.Wapili kulia ni Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi .
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi  Augustine Mahiga wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki  katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki  katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018. Katikati ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume   wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018.  Katikati ni Mufti wa Tanzania, Sheikh , Abubakary Zubeir.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 . Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki katika dua ya kumwombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimian na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,  Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki katika dua ya kumuombea   Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Balozi Ali Karume wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki katika dua ya kumwombea   Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018. Kulia ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad