HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 2 April 2018

IVO MAPUNDA ATOA HAMASA KWA WASHIRIKI WA Castle Africa 5s

Balozi wa Castle Africa 5s, Ivo Mapunda, (kulia) akizungumza baadhi ya wachezaji wakati wa Bonanza la Castle Africa 5s(5- aside) lililofanyika katika Uwanja wa Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Bingwa katika mashindano hayo ataiwakilisha nchi ya Tanzania katika mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika Zambia.
Balozi wa Castle Africa 5s, Ivo Mapunda, (kulia) akizungumza baadhi ya wachezaji wakati wa Bonanza la Castle Africa 5s(5- aside) lililofanyika katika Uwanja wa Machava Kigamboni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Bingwa katika mashindano hayo ataiwakilisha nchi ya Tanzania katika mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika Zambia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad