HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 5 March 2018

WAZIRI MKUU AKABIDHI PIKIPIKI MBILI KWA JESHI LA POLISI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhi pikipiki mbili kwa Kamanda Mkoa wa Lindi, ACP. Pudensiana Protas zilizotolewa na kampuni ya WU ZHOU Investment Company kwa Jeshi la Polisi, wakati alipotembelea kituo hicho jana, Machi 4, 2018, Wilayani Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad