HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 24, 2018

RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA

Mkuu wa wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME amezindua siku ya upandaji miti kimkoa katika halimashauri ya MBINGA,ambapo katika zoezi hilo zaidi ya miti laki mbili imepandwa wilayani humo aina ya paini inayokadiriwa kukomaa baada ya miaka saba

Serikali kupitia mradi wa panda miti kibiashara imetenga shilingi milioni mia moja kwa wilaya ya Mbinga,Nyasa, Na Halimashauri Ya Madaba ,Huku wastani wa hekali moja mkulima anaweza kujipatia shilingi milioni ishirini, HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad