HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 19 March 2018

KUMBILAMOTO ATOA SHUKRANI YA MBUZI KWA FATHER KAMILI WA PAROKIA YA YOMBO DOVYA

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akimkabidhi Padre wa Kanisa Katoliki Yombo Father Kamili Zawadi ya Mbuzi kama sehemu yake ya shukrani mara baada ya kufanyiwa maombi wakati wa uchaguzi.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto, akiajadili jambo na Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga ya Yombo Dovya, Father Kamili mara baada ya kumkabidhi zawadi ya Mbuzi.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto, akizungumza na Viajana wa Kwaya wa Parokia ya Karoli Lwanga iliyopo Yombo Dovya jijini Dare s Salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad