HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 13 February 2018

YALIYOJIRI LEO KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHILI ZANZIBAR

 Muakilishi wa Jimbo la Konde Omar Seif Abeid akiuliza maswali katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Mjini Zanzibar.
 Muakilishi wa Jimbo la Chakechake Suleiman Sarahan Said kushoto akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Pangawe Khamis Juma Mwalim ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  linaloendelea  Chukwani Mjini Zanzibar.
 Muakilishi wa Nafasi za Wanawake Salha Muhammed Mwinjuma akisikiliza kwa makini maswali na majibu yanayotolewa ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi linaloendelea 
Chukwani Mjini Zanzibar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed kushoto akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed ndani ya ukumbi wa  Baraza la Wawakilishi linaloendelea Chukwani Mjini Zanzibar.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Khamis Juma Maalim akijibu maswali yalioulizwa ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi   linaloendelea Chukwani Mjini Zanzibar.

Naibu Waziri Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto  Mhe,Shadya Mohammed Suleiman akijibu maswali yalioulizwa ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  linaloendelea Chukwani Mjini Zanzibar. Picha Na Yussuf Simai/Maelezo Zanizbar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad