HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 21 February 2018

RAIS MAGUFULI AONDOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA KAMPALA NCHINI UGANDA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda wakati akeielekea kwenye ndege yake tayari kwa safari ya kuelekea nchini Uganda kushiriki Mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Kambala
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kupanda ndege kuelekea nchini Uganda kushiriki Mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Kambala.
Picha na Ikulu

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad