HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 2 January 2018

VIDEO:WAZIRI MWIGULU ATOA TAARIFA YA MWAKA 2017 NA MIPANGO YA WIZARA 2018

“Kwa mwaka 2017 matukio yaliyoniudhi zaidi ni tukio la kushambuliwa kwa askari polisi na wananchi maeneo kibiti na kushambuliwa kwa kiongozi mda wa mchana tena katikati ya mji wa serikali na watu kupotea sehemu kusiko julikana hivyo nawataka wananchi kuwa mbele ya matukio kwa kutoa taarifa na kama wizara sisi tupo vitani mda wote kuwasaka waharifu na kuzia uharifu kwa mwaka 2018” Waziri Mwigulu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad