HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 10 January 2018

VIDEO:WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA HALIMASHAURI YA WILAYA YA NYASA KUMALIZA TOFAUTI ZAO.

Waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza viongozi wa halimashauri ya Nyasa akiwemo mbunge wa jimbo hilo, mkuu wa wilaya na mkurugenzi, kumaliza tofauti zao na madala yake wawaletee wananchi maendeleo.

 Rai hiyo ameitoa wakati akizungumza na watumishi na wakuu wa idara mbalimbali wa halimashauri ya wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad