HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 10, 2018

MASAUNI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri(kulia) kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Tanzania na Kuwait katika masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama kwa raia wa nchi hizo mbili.Mazungumzo hayo yamefanyika leo ofisi za wizara,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,(kushoto) kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Kuwait na Tanzania katika masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama kwa raia wa nchi hizo mbili.Mazungumzo hayo yamefanyika leo ofisi za wizara,jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea zawadi kwa niaba ya wizara kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri(kulia), baada ya kumaliza mazungumzo  kuhusu ushirikiano baina ya nchi za Tanzania na Kuwait katika masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama kwa raia wa nchi hizo mbili.Mazungumzo hayo yamefanyika leo ofisi za wizara,jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri, akipeaa mikono  na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto) wakati akimkabidhi zawadi baada ya mazungumzo kuhusu ushirikiano baina ya nchi za Tanzania na Kuwait katika masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama kwa raia wa nchi hizo mbili.Mazungumzo hayo yamefanyika leo ofisi za wizara,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad