HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 23 December 2017

VIDEO:WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AMEWATAKA MADIWANI WA MANISPAA YA SONGEA KUMALIZA TOFAUTI ZAO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Madiwani katika Halimashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kuachana na makundi yanayoigawa manispaa hiyo,Waziri mkuu ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake ya siku moja katika mkoa wa ruvuma wakati akizungmza na watumishi pamoja na madiwani hao Habari Kamili Hii Video Yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad