HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 1 December 2017

VIDEO:RC RUVUMA AMSIMAMISHA KAZI MKANDARASI

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme amemsimamisha kazi Mkandaras RUKOLO kwa kushindwa kutimiza majukumu yake kwa wake hali inayopelekea wakazi wa wilaya ya songea kupata shida wakati wa kusafirii,mkandarasi amefutiwa makatba wake na kuagiza kutopata tena tenda ya kutengeneza barabara za mkoa wa RUVUMA habari kamili hii hapa video yake

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad