Mtaa Kwa Mtaa Blog

VIDEO:MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA ALANI UKABILA UNAOJITOKE KATIKA CHAGUZI ZA VIONGOZI

Mwenyekiti anayemaliza muda wake wachama cha mapinduzi mkoa wa ruvuma ODDO KILLINI MWISHO amesema chama hicho katika mkoa wa ruvuma kimekubwa na ukabila kwa baadhi ya ujumbe wa chama hicho,baada ya kuonekana baadhi ya wilaya zimekuwa na ukabila.hayo ameyasema kabla ya uchaguzi mkuu wa chama hicho mkoa wa RUVUMA kufanyika leo ukisimamiwa na waziri husseni mwishi ambaye pia mlezi katika mkoa huo, huku naye akiomba ridhaa ya kurudi tena madarakani kuweza kukitumikia kwa miaka mitano tena ijayo.
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget