HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 2 December 2017

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO.


 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akimkabidhi Nyenzo za utendaji Kazi za CCM Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Chwaka Mwalimu Mussa Jecha, wakati wa mkutano huo, kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Abdallah Ali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdallah Juma Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeri rasmin Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein kufungua Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa coconut marumbi Unguja.(Picha na Ikulu)
 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Coconut Marumbi Wilaya ya Kusini Unguja.

 WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika ukumbi wa mkutano katika hoteli ya coconut marumbi wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo.(Picha na Ikulu)

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdallah Juma Mabodi akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja.9Picha na Ikulu)
 /MSIMAMIZI Mkuu wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi Mkoa wa Kusini Unguja Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Profesa Makame Mbarawa akizungumza wakati wa zoezi la kupiga kura likiaza katika ukumbi wa hoteli ya Coconut Marumbi Unguja.(Picha na Ikulu)
 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipiga kura yake kuwachagua Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Marumbi Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga kura yake kuwachagua Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano Mkuu uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya coconut marumbi Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad