HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 3 November 2017

VIDEO:WATAKAO CHEZESHA MIZANI TUTAWAKAMATA DC TUNDURU

Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera amevitaka vyama vya ushirika wilayani hapo kuhakikisha wanatumia mizani yenye lengo la kumsaidia mkulima wa zao la korosho awezekupata matunda mema bala ya kulalamika kila siku hayo ameyasema wakati wa kuzindua mnada wa korosho katika kata ya nakapanya mkoani RUVUMA habari kamili hii hapa VIDEO YAKE.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad