HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 26 November 2017

POP UP YA SWAHILI FASHION WEEK YAWA GUMZO KWA WANA MITINDO

 Mwanamitindo wa kampuni ya African Doll akimuonyesha nguo ndugu John Ulanga katika Swahili Fashion week Pop Up iliyofanyika Nyumbani kwa Balozi wa Italy jijini Dar es Salaam jana.
 Mwanamitindo, Diane Kapela kutoka Naled Fashion Tanzania akiweka sawa bidhaa zake katika Pop Up ya Swahili Fashion Week iliyofanyika Nyumbani kwa Balozi wa Italy, jijini Dar es salaam.
 Mwanamitindo Maharufu nchini Martin Kadinda, akichagua nguo za Mwanamitindo Kulwa Mkwandule katika Pop Up ya Swahili Fshion Weeek iliyofanyika nyumbani kwa balozi wa Italy
 Mwanamitindo Manca Mushi akiuza bidhaa zake za mikoba na nguo kutoka kwa moja ya wateja waliofika katika Pop Up ya Swahili Fashion Week
Mwanamitindo Rebecca Mwaipopo  akiwaonyesha wateja wake  nguo wakati wa Pop Up ya Swahili Fashion Week iliyofanyika nyumbani kwa balozi wa Italy jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad