HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 3 November 2017

DALADALA LIKIKATA MITAA HUKU LIKIWA JUU YA MKOKOTENI

 Daladala likiwa limebebwa kwenye mkokoteni likitoka maeneo ya Dodoma Inn kuelekea barabara ya Dar es salaam mjini Dodoma  Novemba 2, 2017. Licha ya kusababisha mshangao kwa watuomiaji wa barabara pia lilisababisha msongamano wa magari. Picha na Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad