HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 20 November 2017

BALOZI WA TANZANIA NCHINI SHELISHELI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO.

Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Shelisheli, Mhe. Danny Faure. Makabidhiano hayo yalifanyika tarehe 14 Novemba 2017, katika Ikulu ya nchi hiyo. 

Mhe. Balozi Chana akizungumza na Mhe. Rais Faure ambapo Serikali ya Jamhuri ya Shelisheli imemuhakikishia kumpa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yake.
Mhe. Balozi Chana akiwasili katika Ikulu ya Jamhuri ya Shelisheli. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad