HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 19 October 2017

WAZIRI MKUCHIKA AKUTANA NA WATENDAJI WA IDARA NA VITENGO – UTUMISHI

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akifuatilia mada katika moja ya vikao kazi alivyofanya leo na watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Serikalini Bw. Priscus Kiwango akieleza kazi mbalimbali zinazohusu TEHAMA Serikalini na utekelezaji wake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad