HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 6 October 2017

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB TAWI LA TEGETA WASHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWAPA ZAWADI WATEJA WAKE.

 Keki ya wiki ya huduma kwa wateja ya benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya zawadi mbalimbali za wateja wa benki ya CRDB tawi la Tegeta jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wateja wa benki ya CRDB tawi la Tegeta kibo wakiseherekea pamoja katika wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba.
 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam wakiwa katika pcha ya pamoja wakiwa wanasheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya kwanza ya Oktoba kila mwaka.a kwa wateja.
 Baaadhi ya Wafanyakazi wanawake wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakisheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya kwanza ya Oktoba kila mwaka.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Richard mkakala akikata keki pamoja na nwakilishi wa wateja wa CRDB tawi la Tegeta.

 Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi akimpa zawadi Mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, William Silawe ikiwa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka.
Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini akimpa zawadi Mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, William Silawe ikiwa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka.katikati ni  Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi.
 Sehemu ya mbele ya Biashara ya Duka la Vifaa vya ujenzi la Silawe GM General Tore Supply lililopo Tegeta jijini Dar es Salaam.
 Mwonekano wa ofisi za benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam.
  Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi na Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini wakimpa zawadi mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo na mmiliki wa duka la vifaa vya ujenzi la Eriki Hardware Tegeta jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja.
 Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini kulia na Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi  wakiwa katika picha ya pamoja na mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo na mmiliki wa duka la vifaa vya ujenzi la Eriki Hardware Tegeta, Richard Machange jijini Dar es Salaam leo.
 Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi  akimpa zawadimwakilishi wa Elizabeti Kileo mmiliki wa kiwanda cha kuoka mikate ikiwa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja.
 Wafanyakazi wa kiwanda cha kuoka mikate wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi jijini Dar es Salaam leo.
  Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini kulia na Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi
 Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini kulia na Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi  wakimpa zawadi mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo na mmiliki wa duka la vyakula mbalimbali Kawe jijini Dar es Salaam,Hashim Mngazija leo wafanyakazi wa benki hiyo walipomtembelea ofisini kwake.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo Complex, Richard Mkakala akimhudumia mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo Complex jijini Dar es salaam.Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Tegeta wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad