HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 2 October 2017

VIDEO:MOBISOL YAMKUNA RC RUVUMA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt. Bilinith Mahenge amelitaka shirika la umeme TANESCO mkoa wa Ruvuma kushirikiana na kampuni ya umeme majumbani mobisol iliyopo mkoa hapa katika kuboresha huduma za kijamii kwani wamekuwa wakiwafikia wananchi walio wengi husasani wa vijijini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad