Askofu wa jimbo la Mbinga Askofu
John Ndimbo leo ameongoza mapokezi ya kuupokea mwili wa marehemu Askofu Castor Msemwa aliyefarika dunia tarehe 19.10.2017 na mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho katika jimbo la Masasi
Tunduru mkaoni Ruvuma, Askofu Castor
Msemwa alizaliwa katika kijiji cha Kitulira
Wialayani Njombe.
Tuesday, October 24, 2017
VIDEO:MASKOFU WAUNGANA NA WAUMINI KUUPOKEA MWILI WA ASKOFU MSEMWA MJINI SONGEA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment