HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 26 October 2017

VIDEO: SPIKA WA BUNGE MSTAAFU ANNA MAKINDA AMLILIA HAYATI ASKOFU CASTOR MSEMWA

MBUNGE  wa zamani wa jimbo la njombe mjini amabaye pia alikuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA katiaka awamu ya nne ANNA makinda amwelezea hayati CASTORY MSEMWA wa jimbo la MASASI TUNDURU Mkoani RUVUMA alikuwa askofu mwenye kujali maslai ya kanisa katika kusaidia jamii,hayati CASTORY MSEMWA alifarika 19.10.2017 nchini OMANI wakati akisafirishwa kwenda nchini INDIA kwa matibabu na amezikwa leo katika kanisa la matalatifu FRANSISCO WA EXVERY wilayani TUNDURU na kuudhuriwa na viongozi wa kitaifa na kimataifa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad