HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 21 October 2017

SIMBA YAITUNGUA NJOMBE MJI BAO 4-0 UWANJA WA UHURU JIONI HII

 Wachezaji wa timu ya Simba wakishangia ushindi wao walioupata dhidi ya Timu ya Njombe Mji, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, uliochezwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es salaam. Simba imetoka na ushindi wa bao 4-0 huku wafungaji wakiwa ni Emmanuel Okwi, Mzamiru Yassin (magoli mawili) na kumalizia na Laudit Mavugo. Picha zote na Othman Michuzi.
 Beki wa Timu ya Njombe Mji, Laban Kambole akiruka kupiga mpira kwa kichwa huku mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiuzengea.
 Beki wa Simba, Juuko Murshad akimpiga chenga mshambuliaji wa timu ya Njombe Mji.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad