HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 16 October 2017

RAIS DKT. SHEIN AANDAA HAFLA YA CHAKULA KWA UJUMBE WA SERIKALI YA OMAN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar jana wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati  hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini iliyofanyika jana.
  Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Ujumbe wa Serikali ya Oman wakiwa katika hafla ya Chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
 Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi wakiwa katika hafla ya Chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu ambayo iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
 Kikundi cha Taifa cha Sanaa ya Muziki wa Taarab kilipokuwa kikitumbiza jana wakati  hafla ya Chakula cha jioni kilichoandalia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Zamani wa baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati  hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini iliyofanyika jana,wengine (kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia) akifuatiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  akimkaribisha  Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi (kushoto) katika hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini,iliyofanyika jana Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja.
 Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi (wa pili kulia) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) wakichukua chakula katika hafla maalum iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,iliyoandaliwa  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akichukua chakula katika hafla maalum ya Chakula alichokiandaa jana kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja.
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipkuwa akichukua chakula katika hafla maalum ya Chakula cha jioni kilichokiandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad