HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 23 October 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA PROF. FLORENS LUOGA KUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ametangaza kuteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akipokea kijiti kutoka kwa Gavana wa awali, Profesa Benno Ndulu. Rais Dkt. Magufuli ametangaza uteuzi huo wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vyeti kwa Kamani ya zilizofanya uchunguzi wa kiwango, aina na thamani ya madini katika makinikia yaliyopelekea mazungumzo na Kampuni ya Barrick Gold. Profesa Luoga alikuwa ni mmoja wa Wajumbe wa Kamati hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad