Mtaa Kwa Mtaa Blog

KUNDI LA SPACIOUS AFRICA LAJA KUKOMBOA WASANII WA BONGO

 Meneja wa Kampuni ya Specious Afrika Hennesseyy Mdendwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa lebo mpya iliyo chini ya kampuni hiyo, kulia ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Eliud Modest na kushoto ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Akil Mohamed.
 Msanii Akil Mohamed (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu yeye kuwa chini ya lebo ya Specious Music mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni msanii mwenzake Eliud Modest.
Msanii Eliud Modest (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu yeye kuwa chini ya lebo ya Specious Music mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni msanii mwenzake Akili Mohamed.

Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget