HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 3 October 2017

Britam Insurance waanza kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

Baadhi ya waganyakazi kwa Kampuni ya Britam Insurance wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi rasmi wa wiki ya huduma kwa wateja, katika makao makuu, Jengo ya PPF Tower, jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi kwa Kampuni ya Britam Insurance wakionekana wenye furaha tele katika wiki ya huduma kwa wateja na wanawakaribisha sana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad