HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 19 October 2017

ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WATOA ELIMU MAENEO MBALIMBALI MKOANI KILIMANJARO

 Askari wa kikosi cha Usalama Barabarani  CPL Juma Selemani, akitoa elimu katika Shule ya Msingi Custom iliyopo wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani.
 Askari wa kikosi cha Usalama Barabarani  PC Ndugunamiti, akiwa na Juma Abdallah mwanafunzi wa Shule ya msingi Majengo wilayani Same Mkoani Kilimanjaro alipokuwa akichangia mada iliyokuwa ikitolea shuleni hapo katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani.
Mkaguzi wa kikosi cha Usalama Barabarani wilayani Moshi Mshangama Nyangasa, akitoa elimu katika shule ya msingi Majengo iliyopo  mkoani Kilimanjaro katika maadhimisho ya wiki ya  nenda kwa usalama Barabarani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad