HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 8 September 2017

WAZIRI MKUU AAGANA NA MAPAROKO KUTOKA RUANGWA WANAOKWENDA HIJA NCHINI ISRAEL

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maparoko kutoka Wilayani Ruangwa, wakati alipo waalika kwa ajili ya chakula cha usiku kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Septemba 08, 2017.

Viongozi hao walimtembelea na kumuaga wakiwa katika maandalizi ya kwenda hija nchini Israel, Jordan na Misri (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad