HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 25, 2017

WAANDISHI WA HABARI ZA BIOTEKNOLOJIA WAPEWA TUZO ZA UANDISHI BORA.

 Mshindi wa kwanza katika mashindano ya  uandishi bora  wa habari za sayansi na kilimo (Biotchnolojia) katika kuendeleza Kilimo, Gerald Kitabu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya kumkabidhi cheki ya Dola 1500 kwa kuwa mshindi wa mashindano ya uandishi bora wa habari za Sayansi makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Tume ya Sayansi (Costech) jijini Dar es Salaam leo.

Katika tuzo hizo Mshindi wa Kwanza amezawadiwa cheki ya Dola 1500, wapili dola 1200 na watatu Dola 100o na wengine Dola 750, 375 na 250 pia baadhi ya Vyombo vya habari wamezawadiwa cheti cha Shukrani kwa kuchapisha kazi za Sayansi na Kilimo.

Ukiacha Gerald Kitabu wengine ni Kelvin Gwabara, Innocent Mugune, Coletha Makurwa, Shadrack Sagati, Elias  Msuya, Fatma Abdul, Lucy Ngowi, Restuta Damian, Heren Kwavava, Daniel Sembelya na Zakaria Gabriel. 
Baadhi ya washindi wa Tuzo za uandishi mahiri wa habari za Sayansi  na Kilimo(Bioteknolojia) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako na  Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla ya kuwazawadia washindi wa habari waliofanya vizuri zaidi kwenye kuandika na kuelimisha umma kuhusu matumizi ya Sayansi, Teknologia na ubunifu hususani Bioteknologia katika kuendeleza kilimo.
Baadhi ya waandihsi wa habari waliofika katika hafla fupi kuwakabidhi tuzo za uandishi mahiri wa habari za Sayansi (Biotechnology) jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla hiyo jijini Dar es Salaam leo. 




 Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi Mwandishi Elias Msuya hundi yake pamoja na cheti wakati aliposhinda tuzo ya uandishi bora wa habari za Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam leo.

 Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi Mwandishi Lucy Ngowi cheti kwaajili ya ushindi wa uandishi wa habari za Sayansi na Kilimo jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi Helen Kavava hundi yake wakati aliposhinda tuzo ya uandishi bora wa habari za Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam leo.

Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi Kelvin Gwabara tuzo yake wakati aliposhinda tuzo ya uandishi bora wa habari za Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam leo. Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda
Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi hundi ya Dola 750 wakati aliposhinda tuzo ya uandishi bora wa habari za Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam leo.




 Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo za uandishi bora wa habari za Bioteknologia baada ya kukabidhiwa tuzo ya uandishi bora wa habari za Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam leo.
 Mkurugenzi wa TBC, Ayoub Rioba akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo za uandishi bora wa habari za Sayansi na Kilimo jijini Dar es Salaam leo.

Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako, Mkuu Mkuu wa Tume ya Sayansi na Technologia, (COSTECH)Hassan Mshinda na Mkurugenzi wa TBC wakiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa tuzo za umahili bora wa habari za Sayansi na Kilimo jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamaii

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad