HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 23 September 2017

VIDEO – WATU WA WILI WAMEFARIKI DUNIA NA 42 WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI YA BUS WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA

Watu wa wili wamefariki dunia na 42 wamejeruhiwa katika ajali ya bus aina ya FUSO lenye Namba za usajili T 606 CTY mali ya kampuni ya kisumapai linalofanya safari zake katika wilaya za Songea na Nyasa MBAMBABAY mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad