HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 21 September 2017

TAMASHA LA BURUDANI LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA KESHO SEPTEMBA 22,2017.

Mwanamuziki John Kitime akizungumza na Michuzi TV jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Tamasha la Muziki wa Zamani yaani muziki wa Miaka ya 1960 na 1970 na 1980. Tamasha hilo litkalofanyika katika ukumbi wa Burudani wa Salenda Klabu jijini Dar es Salaam Kesho Ijumaa ya Septemba 22, 2017.

Amesema kuwa Burudani ya Kutosha itatolewa kuanzia saa moja jioni kwa kiingilio cha shilingi 10,000/= na itakuwa kila Ijumaa ya kila wiki.
Pia amewakaribisha Vijana wazamani pamoja kwenda katika eneo husika ili kujikumbusha muziki na burudani za zamani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad