HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 18 September 2017

SERIKALI YAOMBWA KUSAIDIA KUJENGA VIWANJA VYA MCHEZO WA MPIRA WA MAGONGO.

MCHEZAJI na Mwalimu wa Mchezo wa mpira wa Mgongo (Hoki), Osman Bairu aiomba Serikali kusaidia kujenga viwanja vya mpira wa Magongo hapa nchini. 


Hayo amesema wakati akizungumza wa Michuzi Tv katika viwanja vya Tanganyika Pekazi jijini Dar es Salaam wakati wa mashindan ya mchezo wa Magongo uliohusisha Timu A na Timu B  za shule ya Msingi Kawe jijini Dar es Salaam.Pia amewaomba wazazi kuwaruhusu watoto wao kwenda kufanya mazoezi pamoja na ili mchezo huo upate kwenda mbali zaidi.

Mwalimu na Mchezaji wa mpira wa Magongo (Hoki), Osman Bairu akizungumza na Michuzi TV jijini Dar es Salaam wakati wa mchuano wa mchezo wa Magongo kati ya Timu A na Timu B ya shule ya Msingi Kawe B jijini Dar es Salaam .Ambapo Mchezo huo ulifana sana na Timu ya ya mchezo huo waliweza kufungana 5-2 Timu A walifunga mabao matano na Timu B walifuga mawili.
Mwalimu na Mchezaji wa mpira wa Magongo (Hoki), Osman Bairuakiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu A na Timu B kabla ya mashidano yati ya Timu Hizo mbili za kutoka Shule ya msing Kawe B jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Timu A wakijaribu kunyang'anya Mpira Mchezaji wa Timu B wakati wa Mashindano ya Kirafiki  uliofanyika katika viwanja vya Tanganyika Pekazi jijini Dar es Salaam. 
 Mchezo ukiendelea kati ya Tmu A na Timu B za shule ya Msingi Kawe B jijini Dar es Salaam.
 Mchezaji wa Timu timu A akiwatoka wachezaji wa timu B. 

 Mchezaji wa Timu B akiwa karibu na la lango la Timu B  wakati wa Mchezo wa Magongo katika viwanja vya Tanganyika Pekazi jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa mchezo wa Magongo wakiwa katika Lango la Timu B. 
Mcheo ukiendela. 
Mashambulizikatika Lango la Timu B. 

Wachezaji wa Timu B na Timu A. 

 Wachezaji wa Timu B wakipongezana baada ya kufunga Goli.
 Mpira wa Magongo ukielekea katika lango la timu B.
 Wachezaji wa Timu A wakiangalia Mpira mara baada ya Kufunga.
 Mashambulizi yakiendelea katik lango la Timu A.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad