HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 14, 2017

SEND OFF YA MKE MTARAJIWA WA MSAIDIZI WA KINANA

Mke Mtarajiwa wa Ofisa wa Makao Makuu ya CCM, Cuthert Midala, Bi Catherine Nyamoni akiwa mwenye tabasamu la uhakika, wakati wa Send Off yake, iliyofanyika jana jioni, katika ukumbi mwanana wa Danken House, Mikocheni jijini Dar es Salaam, Zifuatazo ni picha zaidi ya 200 zikisawiri tukio lote mwanzo hadi mwisho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.

1 comment:

Post Bottom Ad