HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 2 September 2017

PICHA ZA MECHI YA TAIFA STARS NA BOTSWANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR LEO

 Mchezaji Gadiel Michael wa Taifa Stars akichuana na Beki wa Botswana, Mosha Gaolaole, katika mchezo wa kirafiki wa kimamataifa, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0.
Nahodha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta akiondoka na mpira mbele ya mabeki wa timu ya Taifa ya Botswana, katika mchezo wa kirafiki wa kimamataifa, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0.
 Mshambuliaji wa Taifa Stars, Simon Msuva akichezewa ndivyo sivyo na Beki wa  Botswana, katika mchezo wa kirafiki wa kimamataifa, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0. Ajali kazini: Wachezaji Farid Mussa (Taifa Stars) Lesenya Lamoraka (Botswana) wakijikuta wakimvaa mwamuzi wa pembeni wakati wakiwania mpira, katika mchezo wa kirafiki wa kimamataifa, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0.

 Simom Msuva, Mzamiru Yassin na Shizza Kichuya wakishangilia baada ya ushindi walioupata dhidhi ya Botswana, mchezo uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam. Taifa Stars imeshinda 2-0.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad