HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 7 September 2017

MKUTANO WA KUJADILI VIKWAZO VINAVYOATHIRI BIASHARA KATI YA TANZANIA NA KENYA WAFUNGULIWA.


.Mkurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara BW. Ally Gugu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano wa kujadili vikwazo vinavyoathiri Biashara kati ya Tanzania na Kenya uliofanyika katika ukumb wa mikutano Mwalimu Nyerere leo jijini Dar es Salaam

.Mkurugenzi Idara ya Mtangamano wa Biashara, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw. Ally Gugu akizungumza mara baada ya kufungua Mkutano wa kujadili vikwazo vinavyoathiri Biashara kati ya Tanzania na Kenya katika ukumbi wa mikutano Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam .Kulia ni Bi. Sekela Mwaisela Mkurugenzi Msaidizi idara ya Mtengamano wa Biashara ,Wizara ya Viwanda ,Biashara na Uwekezaji, Kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara, Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji,Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw.Bernard Haule.

Mkururugenzi Idara ya Masoko Bw.Odilo Majengo akichngia jambo katika mkutano huo.

03.Wajumbe wa mkutano wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mkutano huo Bw. Ally Gugu alipokuwa akiwasilisha mada..Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad