Mtaa Kwa Mtaa Blog

MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU UGATUAJI WA MADARAKA TANZANIA YAWASILISWA NA REPOA.

Taasisi ya utafiti ya REPOA, Imezindua Ripoti ya Utafiti Kuhusu Ugatuaji wa Madaraka kwa Wananchi  (Understanding Decentralization and Devolution in Tanzania) Katika Warsha iliyowakutanisha Wasomi na Wadau mbalimbali wa maendeleo Mkoani Dodoma.
​Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo (MB) akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa warsha ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti Kuhusu Ugatuaji wa Madaraka kwa Wananchi  (Understanding Decentralization and Devolution in Tanzania) .Warsha iliyowakutanisha Wasomi na Wadau mbalimbali wa maendeleo Mkoani Dodoma.
Baadhi ya wadau walioshiriki katika warsha ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti Kuhusu Ugatuaji wa Madaraka kwa Wananchi  (Understanding Decentralization and Devolution in Tanzania) Mkoani Dodoma.
 ​Mkurugenzi wa Repoa  Dk. Donald Mmari Akifungua Warsha mkoani Dodoma iliyowahusisha wadau mbalimbali.
​Picha ya Pamoja ya Washiriki wa Warsha hiyo pamoja na Mgeni rasmi mkoani Dodoma.
Mwakilishi Kutoka Taasisi ya Utafiti ya KIPPRA ya Nchini Kenya, akielezea Jinsi Kenya inavyogatua Madaraka kwa Umma.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget