HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 18 September 2017

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MATOKEO YA UTAFITI WA KUTATHMINI UPATIKANAJI NA MATUMIZI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NCHINI YAFANYIKA.

 Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza wakati wa kikao cha maandalizi ya uzinduzi wa matokeo ya Utafiti wa Kutathmini Upatikanaji na Matumizi ya Huduma za Kifedha nchini (FINSCOPE). Uzinduzi huo unatarajia kufanyika tarehe 28 Septemba, 2017 jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji kutoka Mfuko wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (FSDT) Sosthenes Kewe (wa tatu kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha maandalizi ya uzinduzi wa matokeo ya Utafiti wa Kutathmini Upatikanaji na Matumizi ya Huduma za Kifedha nchini (FINSCOPE). Uzinduzi huo unatarajia kufanyika tarehe 28 Septemba, 2017 jijini Dar es Salaam.
Mtafiti kutoka Mfuko wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (FSDT) Elvis Mushi (wa tatu kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu Utafiti wa Kutathmini Upatikanaji na Matumizi ya Huduma za Kifedha nchini (FINSCOPE) wakati wa kikao cha maandalizi ya uzinduzi wa utafiti huo unaotarajia kufanyika tarehe 28 Septemba, 2017 jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE  NA VERONICA KAZIMOTO)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad