HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 2, 2017

JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE

 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia  maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia  maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya (kushoto}   pamoja na Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (kulia) mara baada ya kuzungumza kuhusu kuhusu miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi  wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wanne kutoka kushoto Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange wanne kutoka kulia Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali Mwakibolwa watatu kutoka kushoto mstari wa mbele pamoja na Wakuu wa Kamandi na machifu wa Makao makuu ya Jeshi hilo. Picha na Mpiga Picha Wetu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad