HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 26, 2017

CRDB YAWAPA SOMO LA UJASILIAMALI WAKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja kwa vikundi vya kijamii na wajasiliamali, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Sunrise, Kigamboni jijini Dar es salaa.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, akizungumza katika semina ya siku moja kwa vikundi vya kijamii na wajasiliamali, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Sunrise, Kigamboni jijini Dar es salaam
Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Rahel Muhando akizungumza wakati alipokuwa akitambulisha sehemu ya viongozi wa ngazi mbalimbali wa Wilaya hiyo, katika semina ya siku moja kwa vikundi vya kijamii na wajasiliamali, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Sunrise, Kigamboni jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (watatu kushoto), Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Rahel Muhando (kulia), Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa pamoja na Meneja wa CRDB Tawi la Mbagala, Midlaster Nsanzugwanko wakifatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika semina ya siku moja kwa vikundi vya kijamii na wajasiliamali, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Sunrise, Kigamboni jijini Dar es salaam
Wadendaji wa Benki ya CRDB wakijadiliana jambo, katika semina ya siku moja kwa vikundi vya kijamii na wajasiliamali, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Sunrise, Kigamboni jijini Dar es salaam
Baadhi ya Washiriki wa Semina hiyo.
Baadhi ya vijana wa vikundi vya Jogging Kigamboni ambao ni wajasiliamali pia.
MC wa semina hiyo, Angela Bondo akiweka sawa mambo.
Baadhi wa Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwafungulia Akaunti wateja wapya wa Benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad