HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 18 September 2017

BODA KWA BODA MPAKA KIELEWEKEEE...SHERIA NI ZETUUU....

Hivi nyie jamaa wa pikipiki hizi mbinu mnazo zibuni humu barabarani huwa mnaambizana kwa kuzipitisha sheria zenu mnazozijuwa wenyewee na kupelekea majanga yasiyo kuwa na ukarimu kwenu, Ona mwenyewe mdau wa mtaa kwa mtaa jinsi jamaa huyu alivyo naswa na kamera yetu akiwa ndukiii ndukiii barabarani yeye na kipando chake huku akiwa hana hata sheria moja katika msafara wakeee, hana kofia ngumu, hajakaa kwenye kitako pengine kuna mtu kawekewa siti hiyo ya nyuma.
Hii inatwa Abiria nipakate dereva wakoooo...
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad