HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 26 September 2017

BASI LA TASHRIFF LILILOKUWA LIKITOKA TANGA - DAR LAUNGUA KWA MOTO PONGWE - TANGA

Basi la Tashriff lililokuwa likitokea Tanga - Dar es Salaam limeteketea kwa moto mchana wa leo katika eneo la Pongwe, Tanga. Kwa mujibu wa taarifa za awali chanzo cha moto huo hakijafahamika japo hakuna mtu aliyezurika japo mizigo yote imeungua.
Kikosi cha Zima Moto na Uokoaji Mkoani Tanga wakiendelea na zoezi la uokoaji na kuzima moto kwenye basi hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad