Mwakilishi
kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Daniel Wilson akizungumza katika
Mkutano wa Waandishi wa habari na Bahati nasibu ya Tatu Mzuka na
kuwasii watanzania kutumia nafsi kushiriki katika mchezo huo ambao
unaanzia kwa shilingi 500.
Mratibu
wa Mawasiliano wa Mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka Sebastian
Maganga, akizungumza hadi shilingi na Waandishi juu faida za mchezo
huo na namna ya kucheza na kufanikiwa kupata Milioni 30.Balozi wa Mchezo wa kubahatisha wa Tatu Mzuka, Mc Ray Maharufu kama Chikunde akizungumza juu ya yeye kuhusishwa na kampuni inayoendesha mchezo huo wa Tatu Mzuka.
Waandishi wa habari walioshiriki katika Mkutano huo na Waandishi wa habari na Kampuni ya mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka.
Kiongozi kutoka Mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka, Mudy B akizungumza na Waandishi wa habari namna ya kushiriki kupitia simu zetu za Mkononi.
No comments:
Post a Comment