HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 28 August 2017

WATAALAMU WA AFYA KUTOKA CHINA WATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

 Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na ujumbe kutoka China Leo. Ujumbe huo umejadiliana na uongozi wa MNH jinsi watakavyotoa huduma ya matibabu kwa wagonjwa.
 Wataalamu wa afya kutoka China wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo.
  Baadhi ya wakurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakifuatilia mazungumzo hayo leo.
Watalaamu na baadhi ya wakurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wataalamu wa afya kutoka China.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad