HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 18 August 2017

UJENZI WA UZIO WA KITUO KITUO CHA MABASI YAENDAYO HARAKA CHA MOROCCO

.Mafundi wakijenga uzio katika kituo cha mabasi yaendayo haraka cha Morocco leo jijini Dar es Salaam ili abiria watumie daraja hilo kuingia na kutoka katika kituo hicho.
Mafundi wa wakiendelea na ujezi wa uzio katika kituo cha mabasi yaendayo haraka cha Morocco leo jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa kituo cha mabasi yaendayo haraka cha Morocco leo jijini Dar es Salaam.picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad