HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 23 August 2017

Tundu Lissu amepelekwa nyumbani kwake kupekuliwa

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepelekwa nyumbani kwake na Polisi kwa ajili ya kupekuliwa.

Tundu Lissu anashikiliwa na Polisi baada ya kummakata jana alipokuwa anatoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alipelekwa Kituoni kuhojiwa kwa makosa mawili. 

Kosa la kwanza ni kumkashifu Rais, na kosa la pili ni la uchochezi dhidi ya ndege za serikali kuzuiwa Canada.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad