HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 2 August 2017

RAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DKT STEPHEN JUMA MDACHI LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mama Mary Mdachi, mjane wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo ya msiba wa  Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapa pole wana familia wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu ambaye alikuwa ni mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kitivo cha Uhandisi katikla idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.

Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad