PICHA ZA MECHI YA SIMBA NA YANGA INAYOCHEZWA MUDA HUU UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 23 August 2017

PICHA ZA MECHI YA SIMBA NA YANGA INAYOCHEZWA MUDA HUU UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR mashabiki wa timu ya Simba.
Mashabiki wa timu ya Yanga

Kikosi cha timu ya Simba

kikosi cha timu ya Yanga
Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiwania mpira wa mshambuliaji wa Yanga Donald ngoma katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi Uwanja wa Taifa.
Kiungo wa Yanga Rafael Daud akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa
Beki wa kati wa Yanga Kelvin Yondani na mshabuliaji wa Simba Laudit Mavugo wakigombania mpira katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa.
Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea sasa hivi Uwanja wa Taifa

Golikipa Rostand Youthe akiruka juu na  kudaka mpira akiwa sambamba na mshabuliaji wa Simba Emanuel Okwi.


a

Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima akipiga pigo la adhabu nje ya kumi na naneMshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akipambana na beki wa kati wa Simba Salim Mbonde katika mchezo wa ufunguzi wa ligi Ngao ya Jamii.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad